Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Kauli ya Waziri Kangi Lugola baada ya kuikabidhi Simba SC Kombe la TPL

on

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola baada ya kuikabidhi Simba SC Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2018/2019 aliongea na waandishi wa habari, Waziri ndio alikuwa mgeni rasmi wa mchezo huo.

“Nianze na maandalizi ya hii Tanzania Premier League ambapo TFF chini ya Rais ndugu Wallace Karia na timu yake niwashukuru kwa sababu kwenye ilani hii mnayoiona ya CCM, viongozi wa hawa wameisoma na kuichambua vizuri wamekwenda kwenye ibara ya 160 inayohusu michezo wameona CCM imeelekeza nini serikali yake”>>>Kangi Lugola 

EXCLUSIVE: Msuva kuhusu kitendo cha Salamba kuomba viatu vya Banega

Soma na hizi

Tupia Comments