Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mustapha Seleboss amesema amejipanga kuwasaidia wadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kwa jina la ‘Madada poa’ kwa kuwapa miradi mbalimbali ili waweze kujipatia kipato cha kuendeleza maisha yao.
Seleboss ameyasema hayo ikiwa ni takribani wiki tatu tangu alipowakamata madada poa hao na kuwaachia kwa makubaliano ya kuacha kazi hiyo na badala yake wafanye kazi za ujasiriamali.
LIVE MAGAZETI: Lowassa, Membe tishio kwa JPM kwa 2020, Zitto “mtaliweza Dude hili”