Michezo

Waziri Mwakyembe kazindua ipige Tafu Taifa Stars

on

Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe leo amekutana na waandishi wa habari na Mwenyekiti wa kuhamasisha kamati ya hamasa kwa Taifa Stars RC Paul Makonda na kutangaza mpango maalum wa kuongeza hamasa kwa wachezaji.

Taifa Stars sasa Waziri Mwakyembe akiambatana na RC Paul Makonda wametangaza account rasmi za bank kwa ajili ya kuichangia Taifa Stars, kiwango ambacho kitaisaidia kuleta hamasa kwa Taifa Stars na kupata matokeo chanya.

EXCLUSIVE: Msuva kuhusu kitendo cha Salamba kuomba viatu vya Banega

Soma na hizi

Tupia Comments