AyoTV

Gari la kubebea miili ya marehemu waliokosa ndugu DSM lililozinduliwa

on

Meya wa jiji la Dar es salaam, Isaya Mwita amezindua gari la kubebea miili ya marehemu waliokosa ndugu katika jiji la Dar es salaam ambali limegharimu zaidi ya Milioni 140 likiwa na friji nne na uwezo wa kubeba miili minne kwa wakati mmoja.

Tazama kwenye video hii!!!

Soma na hizi

Tupia Comments