Habari za Mastaa

Papii Kocha na tattoo ya JPM, Nitaoa Rais akikubali fasta kadi ya harusi

on

Kwenye Exclusive interview na Ayo Tv Papii Kocha amefunguka kuhusiana  na upendo alionao kwa Rais JPM mpaka kufikia kumchora tattoo na hivyo kumchukulia kama baba yake mzazi  endapo akipata ruhusa ya kuoa kutoka kwa Rais basi atafanya hivyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza mwanzo mwisho alichozungumza Papii Kocha.

EXCLUSIVE: Papii Kocha na Joto DSM Kuna nini tena?

Soma na hizi

Tupia Comments