Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Mazoezi binafsi ya Simon Msuva na mdogo wake wakati huu akiwa likizo

on

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea club ya Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva yupo Tanzania kwa ajili ya mapumziko, baada ya Ligi Kuu Morocco kumalizika akiwa kafunga magoli 11 na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee wa kigeni Ligi Kuu Morocco aliyefunga magoli mengi 2017/2018.

Msuva ambaye yupo Tanzania kwa sasa kwa mapumziko, ameendeleza mazoezi binafsi ya kuhakikisha anatetea rekodi yake aliyoiweka Ligi Kuu Morocco msimu uliyomalizika, Msuva ameendeleza mazoezi binafsi akiwa pamoja na ndugu yake James Msuva anayeichezea Mbao FC.

Samatta na Omar Colley wameenda Macca

 

Soma na hizi

Tupia Comments