Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Ushindi Morogoro time hii !!!

on

Unataka na wewe uwe mmoja wa Watanzania walioboresha maisha yao? Ni rahisi sana unachotakiwa kubashiri matokeo ya michezo kupitia SportPesa pekee, Kwani bado bajaj 26 zimebakia kwa washindi wa michezo ya kubashiri ya SportPesa, hivyo kama unataka ni kuanza kuweka ubashiri wako hivi sasa kupitia SportPesa.

Katika mahojiano maalum na Meneja Uhusiano wa SportPesa, Sabrina Msuya ameizungumzia promosheni hiyo inayoendelea hapa nchini.

“Ipo kubwa tofauti na mwaka jana ambayo ilianza kutokana na mwitikio mkubwa wa Watanzania wengi kubashiri michezo mbalimbali kupitia SportPesa, Hivyo, kutokana na mwitikio huo mkubwa tumeona tuongeze zawadi nyingine tofauti na bajaj hizo tunazozitoa na lengo ni kuwanufaisha Watanzania”>>>Sabrina

Washindi sita kwenda Hispania, Uingereza

“Ni kati ya zawadi tutakazozitoa kupitia promosheni hii ya Shinda Zaidi na SportPesa, tofauti na bajaj tumepanga kutoa tiketi kwa washindi wetu kwenda kuangalia baadhi ya mechi za Ligi ya Uingereza na Hispania.

“Tiketi sita ndiyo tulizopanga kuzitoa kwa washindi wetu, wakiwa huko SportPesa itawagharamia kila kitu ikiwemo chakula, malazi na usafiri wa ndani kwa kipindi chote watakachokaa huko.

“Na sisi ndiyo tutakaochagua mechi za kwenda kuzitazama huko Uingereza na Hispania, hivyo ubashiri ndiyo utakaowawezesha wao kupata nafasi ya kwenda huko kutazama ligi kubwa.

Utofauti upoje mwaka huu na mwaka jana

“Upo mkubwa na hilo limedhihirisha kutokana na washindi kupatikana kutoka mikoa mipya na hiyo imeonyesha ni jinsi gani watu wengi wanabashiri kupitia SportPesa.

“Mwaka huu washindi wengi wametoka mikoa Mara, Dar es Salaam, Morogoro, Mwanza, Kigoma na Tanga lakini mwaka wa jana washindi wa bajaj wanatoka Makambako, Newela, Arusha ambao ulitoa bajaj zaidi ya 20.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments