Video Mpya

VideoMPYA: Jennifer Mgendi ameisogeza kwako ‘Sema Kweli’, karibu kuitazama

By

on

Kwenye uwanja wa nyimbo za Gospel Mwimbaji Jeniffer Mgendi ameileta nyingine ya kutazama na kusikiliza akisema ‘Sema Kweli’, bonyeza PLAY hapa chini kutazama alafu kisha andika comment yako kuhusu wimbo huo.

VIDEO: BEN POL KAFUNGUKA SAFARI ZAKE ZA NJE, MJENGO, MAGARI YA KIFAHARI YA KWENYE VIDEO NI YA MPENZI WAKE.?

Soma na hizi

Tupia Comments