Habari za Mastaa

Wizkid katika steji moja na mtoto wa Bob Marley na Meek Mill

By

on

Superstar kutokea Nigeria Wizkid anazidi kufanya maajabu kwa kulitambulisha vizuri Bara la Afrika na safari hii atatumbuiza katika matamasha mawili tofauti nchini Marekani akiwa na wasanii wakubwa.

Kupitia matamasha hayo aliyoyaweka katika ukurasa wake wa instagram, Wizkid ataanza na tamasha la ‘The Endes Festival’ litakalofanyika May 31,2019 mpaka June 2,2019 ambapo atakuwa akitumbuiza kwenye jukwaa moja na Damian Marley pamoja na Rapper Nas huku list nyingine ikielezwa kutajwa.

Tamasha lingine ambalo Wizkid atatumbuiza ni ‘Amsterdam Urban Pop Music Festival’ litakalofanyika June 29,2019 katika uwanja wa Arena Park, Amsterdam na ataungana na rapper Meek Mill, Tory Lane, Lil Baby, Jacques na wengine wengi.

EXCLUSIVE: Mwijaku na wapenzi wenye tabia zakuomba vocha na kushika simu za wapenzi wao

Soma na hizi

Tupia Comments