Video Mpya

VideoMPYA: Ipokee hii kutoka kwa mkali Whozu inaitwa Gonga

on

Karibu millardayo.com kutazama wimbo mpya wa msanii chipukizi anayefahamika kama Whozu ambaye time hii imetuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Gonga’ ulifanyika kwenye mahadhi ya kizilipendwa. Bonyeza PLAY hapa chini kuutazama.

Uwoya kafunguka tusiyoyajua “Nimepiga picha na Mama Mkwe, Dogo Janja nimemzidi vingi”

Soma na hizi

Tupia Comments