Michezo

Tanzania U-20 huu ndio mtihani wao CECAFA U-20 vs Sudan U-20

on

Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 maarufu kwa jina la Ngorongoro Heroes, Jumatato ya October 2 2019 watacheza mchezo wao wa nusu fainali ya michuano ya CECAFA U-20 dhidi ya Sudan U-20.

Mchezo huo watacheza baada ya kutinga hatua hiyo kwa kuiondoa Uganda U-20 ambao ndio wenyeji kwa kuwafunga magoli 4-2, wachezaji wa Ngorongoro Heroes Kelvin John na Andrew Simchimba ndio wachezaji hatari kwa kufumania nyavu wote wakifunga hart-trick.

VIDEO: Salim Kikeke kafunguka makubaliano yake na MO Dewji ubalozi wa Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments