Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: UTAFITI: Idadi ya Wasioona Duniani kuongezeka hadi Milioni 115 ifikapo 2050…vipi kuhusu Afrika?
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
June 3, 2023
Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > UTAFITI: Idadi ya Wasioona Duniani kuongezeka hadi Milioni 115 ifikapo 2050…vipi kuhusu Afrika?
Mix

UTAFITI: Idadi ya Wasioona Duniani kuongezeka hadi Milioni 115 ifikapo 2050…vipi kuhusu Afrika?

August 3, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Watafiti wameonya kuwa hali ya upofu itaongezeka kwa kasi Duniani hadi kufikia kesi Milioni 115 kufikia mwaka 2050 kama huduma za matibabu hazitaboreshwa hasa katika kuongeza Bajeti za huduma hizo.

Katika matokeo yaliyochapishwa kwenye Jarida la Lancet Global Health, Watafiti hao wamebainisha kuwa kwa sasa zipo kesi za upofu Milioni 36 Duniani kote huku vijana wakiwa kwenye hatari kubwa ya janga hili.

Idadi kubwa ya watu wenye matatizo haya imeelezwa kuwa Kusini mwa Bara la Asia na nchi za chini ya Jangwa la Sahara huku ikielezwa kuwa katika nchi 188 Duniani watu Milioni 200 wana matatizo ya kuona kuanzia katua ya kati hadi hafifu kabisa na takwimu hizi zinaonesha kupanda hadi zaidi ya Milion 550 ifikapo 2050.

Mwandishi Mkuu wa ripoti hiyo ambaye pia ni Mhadhiri wa Anglia Ruskin University, Prof. Rupert Bourne amesema:>>>”Matatizo ya kuona katika hatua yoyote huwa na madhara makubwa kwa maisha ya mtu hususani katika kupunguza uwezo wao wa kujitegemea katika kufanya shughuli mbalimbali.”

Utafiti huu umetoa wito wa uwekezaji wa kutosha katika matibabu kama vile upasuaji na kuhakikisha upatikanaji wa miwani inayosaidia wenye uoni hafifu huku pia ikishauriwa kwa Serikali za nchi zinazoendelea kuboresha mifumo ya afya ikiwa ni pamoja na kuwapa mafunzo wataalamu wa upasuaji na wauguzi ili kutoa huduma bora kwa wananchi.

ULIPITWA? Play kwenye VIDEO hii chini kushuhudia MAAJABU…Tumbo limetobolewa lakini anatembea!!! 

You Might Also Like

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

TAGGED: TZA HABARI, utafiti
Millard Ayo August 3, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article FAHAMU: Unaangalia Katuni, unajua zinavyotengenezwa? Aina zake je?
Next Article Kigezo kilichotumika kuchunguza uraia wa mgombea Urais TFF
- Advertisement -

Latest News

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
Top Stories June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?