Ajali

AJALI: Taarifa ya ajali iliyoua watu 17

on

Matukio ya ajali za barabarani yanazidi kuongezeka kila siku, ikiwa zimepita siku saba toka itokee ajali ya basi la abiria na lori kugongana maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam na kusababisha magari hayo kuwaka moto, leo nimepokea taarifa za ajali kutokea Shinyanga.

Taarifa za ajali iliyotokea Shinyanga zimethibitishwa na jeshi la Polisi, maeneo ya Tinde mkoani Shinyanga imetokea ajali ya gari aina ya Noah kugongana na lori aina ya Scania likitokea Kahama, ajali hiyo imepelekea watu 17 kupoteza maisha.


VIDEO: Hussein Bashe kasimama tena bungeni, sasa hivi ni kuhusu Muswada wa habari

Soma na hizi

Tupia Comments