Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Godzilla kafunguka picha yake na Billnass ‘Bifu limeisha’

on

Usiku wa October 26, 2018 kupitia mtandao wa Instagram imepostiwa picha inayowaonesha wakali wawili wa rap ambao ni Godzilla pamoja na Billnass ambao wameonekana kwenye picha ya pamoja huku awali wawili hao waliwahi kudaiwa kuwa kwenye bifu.

Sasa AYO TV na millardayo.com zimepata Exclusive interview na mkali Godzilla ambaye amezungumza kuhusu picha hiyo huku akieleza kuwa Billnass alikuja studio kwake kwaajili ya kurecord wimbo wao mpya.

Tazama Godzilla akizungumza kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

EXCLUSIVE: Msama kazungumza maandalizi ya tamasha la X-mass litakalozunguka mikoani

Soma na hizi

Tupia Comments