Habari za Mastaa

VideoMPYA: Ni time ya Diamond na Mnigeria Tiwa Savage kwenye hii mpya

on

Mwimbaji staa wa Bongo Diamond Platnumz amefanya collabo na mwimbaji staa kutoka Nigeria Tiwa Savage ni katika video ya wimbo unaoitwa ‘Fire’…hii hapa video ya wimbo huo na unaweza kuitazama hapa chini kisha usisahau kuniandikia maoni yako umeipokea vipi hii ili Diamond akipita hapa ajue mdau umeipokea vipi hii mtu wangu>>>

ULIPITWA: “Mimi na Wema Sepetu tunakutana sana” – Diamond Platnumz 

Soma na hizi

Tupia Comments