Maajabu

VIDEO: Ua la kipekee Duniani linalopatikana Tanzania

on

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba akiendelea na ziara yake ya mazingira katika mikoa mbalimbali alitembelea msitu wa Amani uliopo katika Milima ya Usambara mkoani  Tanga na kujionea Ua la kipekee ambalo halipatikani sehemu nyingine duniani zaidi ya Tanzania.

Ua hilo linaitwa African Violet hustawi maeneo yenye asili ya miamba pekee limebaki moja kwa sasa katika msitu huo ambapo linasadikika kuota katika Milima ya Usambara kwa zaidi ya miaka milioni 30 iliyopita na kuwa kivutio kikubwa kwa watalii mbalimbali wanaotoka ndani na nje ya Tanzania. Unaweza kubonyeza play kwenye video hapa chini kuitazama

VIDEO: Uliikosa story inayohusu Bandari iliyo hatarini kupotea? Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments