Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

List ya Mastaa walioshirikishwa kwenye Album ya ‘Father of Asahd’ (+video)

on

Leo May 17,2018 mtayarishaji maarufu duniani Dj Khaled ameachia rasmi album yake ya ‘Father of Asahd’ ambayo ina jumla ya ngoma 15 ambapo amewashirikisha mastaa kibao akiwemo Marehemu Nipsey Hussle ambaye amefanya naye ngoma ya ‘Higher’ akiwa na John Legend.

Wimbo wa ‘Higher’ ndio kazi ya mwisho ya Nipsey Hussle ambayo ilifanyika siku moja kabla ya kupigwa risasi na kupoteza maisha nje ya duka lake Los Angeles Marekani,video hii imefanywa na muongozaji Eif Rivera, Dj Khaled amesema asilimia 100 ya mapato ya wimbo huo yataenda moja kwa moja kwa watoto wa Nipsey Hussle,Emani na Kross.

AUDIO: Ulipitwa na Sugu kvutiwa na upambanaji wa Jay Z, amuita mwanae ‘Shawn’? Bonyeza PLAY hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments