Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Trey Songz kapata Mtoto wa kiume, ishu kwa Mama wa mtoto

on

Ni headlines za msanii wa R&B Trey Songz nchini Marekani amewataarifu mashabiki wake kuwa amepata mtoto wa kiume ambaye tayari ameshapewa jina la ‘Noah’, Trey Songz ametangaza good news hizo kupitia ukurasa wake wa instagram.

 Trey Songz ameandika ‘Mwanangu wa kiume Noah. Tumebarikiwa na tunafuraha ambayo imepitiliza, amani’. Trey Songz ambaye jina lake kamili ni Tremaine Aldon Neverson hajaweka wazi mama wa mtoto huyo ikiwa pia ni miongoni mwa wasanii ambao wamekuwa wakiweka mahusiano yao ya kimapenzi kwa usiri mkubwa.

Inaelezwa kuwa huyo ndio mtoto wa kwanza wa Trey Songz , mastaa mbalimbali waonyesha kumpongeza mkali huyo kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

VIDEO: CHUCHU HANSY ATOA POVU KWA RAY KIGOSI AMUITA “BABA MWENYE JEURI”

Soma na hizi

Tupia Comments