Habari za Mastaa

Kampuni ya FOX haina mpango wa kumjibu Jussie Smollet

on

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mwigizaji Jussie Smollet ana nafasi ndogo ya kushiriki katika msimu mpya wa tamthiliya ya Empire ambayo inatajwa kuonyeshwa mwaka 2020 baada ya FOX kutangaza rasmi leo May 13,2019.

Mtandao wa televisheni ya FOX umetangaza kuwa msimu wa sita ndio utakua wa mwisho wa tamthiliya hiyo ya Empire na inapanga kufanya onyesho kubwa la televisheni ambapo mtendaji mkuu wa mtandao huo Charlie Collier alisema kuwa kuhusu Jussie Smollet hawana mpango wa kumjibu chochote ikiwa baadhi ya sehemu zake ndani ya tamthiliya zimeonekana kumalizika na ha

Jussie Smollet alituma barua ya ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa mapenzi ya jinsia moja  kwa kampuni ya Fox studio anayofanya nayo kazi siku moja kabla ya shambulio huku ikiripotiwa  kuwa Jussie alijisalimisha mikononi mwa Polisi siku ya Feb 21,2019 ili kusikiliza mashtaka yake ya kuwadanganya Polisi kuhusu kutekwa Chicago.

VIDEO: ULIPITWA NA MAJIBU YA LINAH BAADA YA KUULIZWA ANAMZUNGUMZIAJE AMINI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA.

Soma na hizi

Tupia Comments