Top Stories

Utata matokeo ya uchaguzi serikali za mitaa Dar, Polisi waingilia kati (picha)

on

.

.

Jeshi la Polisi Dar  limelazimika kufyatua risasi hewani na mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark.

Shughuli hiyo ya uapishaji Wenyeviti wa Serikali za Mitaa walioshinda ilikua inafanyika eneo la Ubungo ambapo vurugu ziliibuliwa na upinzani ambao umelalamika kuwa Mwenyekiti mmoja wa CCM aliyeapishwa hakuwa mshindi wa hiyo nafasi.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments