Ubalozi wa Marekani umetoa kauli juu ya wimbo wa Afande Sele unaofahamika kwa jina la “Bila Marekani”.
Katika taarifa iliyochapishwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, imesema kwamba…“Tumesikia Afande Sele ametakiwa kutousambaxa wimbo wake “Bila Marekani” hatukubaliani na ujumbe wa Wimbo huo lakini tunaamini kuwa uhuru wa kujieleza ni haki ya kimsingi.US inaunga mkono uhuru wa kujieleza hata tunapokosolewa.Wewe ndio uwe Jaji”- Ubalozi wa Marekani
Unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu wimbo wa Afande Sele uitwao ‘Bila Marekani’.
TAZAMA ALICHOWAHI KUZUNGUMZA MAUNDA ZORRO KABLA YA KIFO “WATOTO WAKE, MUZIKI NA MENGINEYO”