Mix

Wizara ya Mambo ya Nje imeomba kutengewa Shilingi Bilion 151 kama bajeti yake ijayo

on

Nakukutanisha na headlines za bungeni Dodoma ambapo leo May 31 2016 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kikanda na Kimataifa kupitia kwa Waziri wake Augustine Maige imeomba kutengewa jumla ya Shilingi 151,396,775,000.00 kama bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Waziri Maige anasema…>>>’Kati ya fedha hizo Shilingi 143,396,775,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Shilingi 8,000,000.00 ni kwa ajili ya bajeti ya Maendeleo

ULIIKOSA HII? FREEMAN MBOWE KAZUNGUMZA BAADA YA UPINZANIA KUTOLEWA TENA BUNGENI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments