Mix

Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendelea stendi ya mabasi Ubungo

on

Ikiwa tuanelekea mwishoni mwa mwaka 2015, kuna mengi yanakuwa yakiendelea katika msimu huu ambapo pia baadhi ya watu hupendelea kwenda makwao kwaajili ya kuwasabahi ndugu na jamaa. Lakini hali imekuwa tofauti kidogo leo Dec 23 2015 katika kituo cha mabasi Ubungo Terminal Dar es salaam mara baada ya baadhi ya abiria kukwama kusafiri kutokana na kukosa usafiri kwa kile kinachoarifiwa kwamba ni uchache wa magari huku wasafiri wakiwa ni wengi.

AW1A8931

Baadhi ya abiria wakiwa wakisubiri hatma ya usafiri

AW1A8879

Jeshi la Polisi likiimarisha usalama katika maeneo ya Ubungo

AW1A8885

.

AW1A8891

Moja ya maeneo ndani ya kituo cha mabasi Ubungo

AW1A8899

.

AW1A8900

.

AW1A8901

.

AW1A8907

.

AW1A8911

.

AW1A8915

.

AW1A8922

.

AW1A8924

.

AW1A8926

Mkuu wa kitengo cha elimu kwa Umma usalama barabarani Abel Swai katika mahojiano

AW1A8931

.

AW1A8933

.

AW1A8938

.

AW1A8939

.

AW1A8940

.

AW1A8941

.

AW1A8943

.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments