AyoTV

VIDEO: ‘Wachawi wanaendelea kuroga’ Spika wa Bunge Job Ndugai

on

April 28 2016 katika kipindi cha maswali na majibu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikuwa akijibu maswali kutoka kwa Wabunge, lakini katikati ya maswali vipaza sauti vilianza kusumbua na hadi kumlazimu Spika wa Bunge Job Ndugai kuahirisha shughuli hiyo kwa dakika 30.

Baadae wakati akimkaribisha Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega Spika Ndugai akatania kwa kusema wachawi wanaendelea kuroga ili mjadala usiendelee..

ILIKUPITA HII YA ZITTO KABWE KUHUSU BAJETI IJAYO YA SERIKALI TZ ‘HATUKUTEGEMEA HIVYO AWAMU YA TANO?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments