Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Uchauguzi Nigeria 2023:Matokeo ya awali ya uchaguzi yaanza kutangazwa
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Politics > Uchauguzi Nigeria 2023:Matokeo ya awali ya uchaguzi yaanza kutangazwa
PoliticsTop Stories

Uchauguzi Nigeria 2023:Matokeo ya awali ya uchaguzi yaanza kutangazwa

February 27, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria (INEC) imeanza kutangaza matokeo ya majimbo kwa uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili, huku vyama vyote vikilalamikia mapungufu na ukiukwaji wa sheria na kanuni za uchaguzi.

Matokeo ya kwanza kutoka jimbo la Ekiki yalionesha kura nyingi zilikwenda kwa mgombea urais wa chama tawala (APC), Bwana Bola Tinubu, ambaye alijikusanyia kura 200,000 dhidi ya Atiku Abubakar wa chama kikuu cha upinzani cha PDP aliyepata chini ya nusu ya kura hizo, huku Peter Obi wa chama cha Labour akipata kura 11,000 japo bado vywma vyote vililamikia uwepo wa uiiukwaji wa sheria na kanunu katika uchaguzi huo.

Hata hivyo, matukio ya uvunjifu wa amani ywpishuhudiwa huku wanajeshi wakiwatia  nguvuni watu 15 waliohusika na tukio hayo.

Kura za urais na ubunge hukusanywa kwenye kila jimbo kati ya majimbo 36 ya Nigeria kabla ya hesabu zake kupelekwa kwenye kituo kikuu cha majumuisho katika mji mkuu, Abuja.

You Might Also Like

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA February 27, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Israel na palestina yakubaliana kuacha mapigano.
Next Article Noma!! Tazama Gigy Money alivyompagawisha msanii wa Nigeria Jukwaani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?