Vituko/ Comedy

Siku yako haijaenda poa leo…? Hapa ni lazima ucheke..(+VIDEO)

on

Inawezekana siku yako haijawa poa sana leo, basi chukua time hii kuirejesha furaha kwa kucheka na vituko vya mchekeshaji kutokea Uganda Anne Kansiime.

Sasa hapa ninayo video inayomuonesha Kansiime akiongea kwa hasira baada ya mume wake kuomba kushea chandarua….majibu gani kayatoa basi bonyeza hapa

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Unaweza ukabonyeza play kutazama interview ya Nay wa Mitego akizungumza kuhusu kufungwa kwa Mzazi mwenza miaka miwili Jela

Tupia Comments