Michezo

Uliikosa mechi ya Chelsea vs Schalke? matokeo yako hapa..

on

football 1Baada ya msimu uliopita kuishia kwenye hatua ya nusu fainali, Chelsea imeanza upya mbio zake za kuutaka ubingwa wa Champions League kwa kucheza dhidi ya Schalke huku ikimuanzisha Didier Drogba badala ya Diego Costa na kuambulia sare ya 1-1 dhidi ya Schalke ya Ujerumani.

Cesc Fabregas alianza kuifungia Chelsea goli katika kipindi cha kwanza kabla ya Klaas Jan Huntelaar kuisawazishia Schalke muda mfupi  baada ya kipindi cha pili kuanza.

Timu zilipangwa namna hij…….

Chelsea (4-2-3-1): Courtois 7; Ivanovic 7, Cahill 6, Terry 6, Luis 6; Fabregas 7.5, Matic 7; Ramires 6 (Oscar 67 min, 5), Willian 6 (Remy 73, 6), Hazard 8; Drogba 5.5 (Costa 73 5).
Subs not used: Cech, Zouma, Azpilicueta, Mikel.
Bookings: Terry, Willian,
Manager: Jose Mourinho 7.
IMG_7314.JPG

Schalke (4-2-3-1): Fahrmann 7.5; Hoger 6, Ayhan 7, Neustadter 7.5, Fuchs 6; Boateng 6, Aogo 6; Sam 6, Meyer 6 (Choupo-Moting 73, 6), Draxler 7.5 (Obasi 86); Huntelaar 7.
Subs not used: Weklo, Friedrich, Clemens, Barnetta, Avdijaj.
Bookings: Huntelaar, Boateng, Hoger
Manager: Jens Keller 7.

Unataka kuwa karibu na millardayo? unataka kutumiwa stori? jiunge na mimi kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>> twitter Insta FB

Tupia Comments