Top Stories

“Mtaji wa Masikini ni nguvu zake mwenyewe” – Mambo 8 makubwa ya Rais JPM Korogwe leo

on

Leo August 7, 2017 Rais John Pombe Magufuli amehutubia mjini Korogwe, Tanga wakati wa ziara yake ya kikazi na kuzungumza mambo mengi katika mkutano na wananchi huku akiwasisitiza wananchi washikamane na viongozi wao kulinda na kuhifadhi miundombinu.
Miongoni mwa mambo mengi makubwa aliyozungumza Rais Magufuli ni pamoja na haya 8.

JPM KOROGWE: “Siyo miaka 20 ya Urais, hilo haliwezekani nitaheshimu Katiba”

Soma na hizi

Tupia Comments