Baada ya Magazeti ya Tanzania kuandika headlines kuhusu Waziri wa Sheria na Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi kutajwa na chuo kikuu cha Dar es salaam kuwa mmoja wa watu ambao kuna ishu kwenye vyeti vyao, Makamu wa Chuo (taaluma) Prof. Florens Luoga ameongea.
Akiongea na AyoTV Prof. Luoga amesema ‘Sio Waziri peke yake hata mimi niko kwenye hiyo list, hizo taarifa zinaweza zikaenda na zilikua hazijaangaliwa, ni swala la kurekebisha tu wala sio kitu cha ajabu…. Waziri wa katiba mimi nimesoma nae na alikua mbele yangu na najua amesoma shule zipi’
Kufahamu zaidi alichosema Profesa Luoga bonyeza play kwenye hii video hapa chini
VIDEO: ‘Hawa Wananchi hawatoturudisha tena’ – Nape Nnauye
VIDEO: Mbunge Musukuma awashangaa Mawaziri waliotenguliwa na Rais Magufuli, MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI