Ad

Habari za Mastaa

Majibu ya Shamsa Ford kuhusu madai ya kususiwa na ndugu kwenye shughuli

on

Ikiwa leo ni September 01 2016 ambapo tukio la kihistoria la kupatwa kwa jua, Rujewa Mbarali, Mbeya, U HEARD kupitia XXL ya Clouds FM imezungumza na staa wa bongo movie, Shamsa Ford ameulizwa madai kuwa kasusiwa na wana ukoo kwenye shughuli.

Shamsa Ford amekanusha kuwepo kwa harusi bali itakuwa maulid na kuwa hajasusiwa ndugu, Shamsa Ford amesema…..>>>’Hamna harusi ila ni maulid, inafanyikia kwa baba yangu mzazi kwa Mr Ford ndio kwa baba yangu hapo, hakuna aliyenisusia, mimi nafanya maulid ambayo ndugu zangu wanashughika’

Bonyeza play kuisikiliza story yote iko hapa

ULIKOSA HII YA STEVE NYERERE KUINGI RASMI KWENYE STAND UP COMEDY? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments