Nyumba/ Mijumba

PICHA 10: Muonekano wa maktaba ya kisasa kupita zote Afrika inayojengwa Tanzania

on

June 2 2016 Rais John Pombe Magufuli aliweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambacho Mkuu wa Chuo hicho ni  Rais mstaafu Jakaya kikwete.

Ujenzi wa maktaba hiyo ya kisasa umeshaanza ambapo umefadhiliwa na Serikali ya China na utagharimu zaidi ya dola milioni 40 na eneo la ujenzi ni mita 200, maktaba hii itakuwa kubwa na ya kisasa kupita zote Afrika na inatarajiwa kujengwa kwa muda mfupi ambapo makandarasi wa maktaba hiyo wanatoka China.

a (7)

.

.

.

.

4

5

6

a (3)

a (5)

a (7)

a (4)

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI AUGUST 15 2016 KUTOKA AYO TV UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments