Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: BREAKING: Polisi waongelea kukamatwa kwa Mwanafunzi wa UDSM aliesambaza picha za nyufa kwenye Hostel mpya
Share
Notification Show More
Latest News
Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
August 8, 2022
International Marathon yaacha historia Zanzibar
August 7, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Breaking News > BREAKING: Polisi waongelea kukamatwa kwa Mwanafunzi wa UDSM aliesambaza picha za nyufa kwenye Hostel mpya
Breaking NewsTop Stories

BREAKING: Polisi waongelea kukamatwa kwa Mwanafunzi wa UDSM aliesambaza picha za nyufa kwenye Hostel mpya

December 5, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Habari zilianza kusambaa kuanzia jana kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha zilizosambazwa na Mwanachuo wa UDSM kuonyesha Hostel mpya za Wanafunzi zilizozinduliwa na Rais Magufuli zikiwa zimepata ufa.

Baadae taarifa zilidai kwamba Mwanafunzi huyo amekamatwa na Polisi ambapo leo Kamanda Mambosasa anaesimamia Kanda Maalum ya Dar es salaam ameulizwa na Waandishi kuhusu Mwanafunzi huyo na kujibu yafuatayo.

“Huyu Mwanafunzi alikamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi na akahojiwa na kuachiwa kwa dhamana, kilichoepelekea akamatwe ni ule uzushi wa kuzunguka kwenye mtandao, tulichokitegemea kama angekua na taarifa yoyote.. Wamiliki wa majengo wapo, Mkandarasi aliefanya kazi ile yupo… sasa yeye amefikia mahali akarusha sijui alikua na maana gani”

Mtazame zaidi Kamanda Mambosasa akiongea kwenye hii video hapa chini

HOSTEL UDSM: “TUNASHANGAA KWANINI BWANA MDOGO AMESHTUA NCHI NAMNA HIYO”

You Might Also Like

Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko

International Marathon yaacha historia Zanzibar

Nane Nane Morogoro, Shaka apongeza jitihada za Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Mfahamu Panya Kennedy anayebeba Camera kama Binadamu ‘Anarekodi Matukio vitani’ (video+)

Video: Kinyozi ahukumiwa Jela miaka 30, kosa kumpa mimba Mwanafunzi

TAGGED: Breaking news, TZA HABARI
Millard Ayo December 5, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article WEMA SEPETU: “kama kummiss mtu ni kosa niko tayari kutafutwa”
Next Article Matokeo ya game za Champions League Dec 5, timu zilizofuzu 16 bora
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
Mix August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
Top Stories August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
Mix August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
Magazeti August 8, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 7, 2022

August 7, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 6, 2022

August 6, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 5, 2022

August 5, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 4, 2022

August 4, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?