Mix

Alichokizungumza JPM wakati wa uzinduzi wa hostel UDSM

By

on

Leo April 15, 2017 Rais Magufuli amezindua hostel za wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘UDSM’ baada ya kukamilika ujenzi wake ambapo hostel hizo zitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840 kwa wakati mmoja.

September 6, 2016 Rais Magufuli alifanya ukaguzi wa hostel hizo ambazo zimejengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

VIDEO: JPM alivyozindua hostel UDSM. Bonyeza play kutazama.

FULLVIDEO: JPM alivyozindua Mradi wa Majengo ya Magomeni Quarters DSM. Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo 

Soma na hizi

Tupia Comments