Mix

PICHA 10: Rais Magufuli alivyoweka jiwe la msingi ktk ujenzi wa maktaba ya kisasa UDSM

on

Rais John Pombe Magufuli leo June 2 2016 alikuwa ni mgeni rasmi katika shughuli ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi katika Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambacho Mkuu wa Chuo hicho ni  Rais mstaafu Jakaya kikwete.

Ujenzi wa maktaba hiyo ya kisasa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umefadhiliwa na Serikali ya China na utagharimu zaidi ya dola milioni 40 na eneo la ujenzi ni mita 200, maktaba hii itakuwa kubwa na ya kisasa kupita zote Afrika na watajitahidi kujenga kwa muda mfupi ambapo makandarasi wa maktaba hiyo wanatoka China.

 

3X6A0036

3X6A0052

3X6A0054

3X6A0062

3X6A0067

3X6A0084

 

3X6A0093

3X6A0012

3X6A0029

3X6A0033

ULIUKOSA MGOMO WA WANAFUNZI UDSM MAY 31 2016 ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments