Michezo

Kama ilikupita droo ya mechi za robo fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi

on

Baada ya kumalizika kwa mechi za hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchana wa March 18 shirikisho la soka barani Ulaya zilichezesha droo za kupanga mechi za robo fainali ya michuano hiyo, huenda hukupata nafasi ya kuangalia droo hiyo hii ndio ratiba kamili.

as

Mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itachezwa kuanzia April 5 /6 na April 12/13

gv

Hii ni ratiba ya mechi za robo fainali ya michuano ya Europa Ligi

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments