Michezo

UEFA Champions League December 10, timu zilizofuzu

on

Usiku wa December 10 2019 ni siku ambayo baadhi ya makundi yalikamilisha mechi zao za hatua ya makundi na kufuzu hatua ya 16 bora ya UEFA Champions League.

Vilabu vya FC Barcelona, Napoli, Borussia Dortmund, Liverpool, Valencia, Chelsea, RB Leipzig na Olympique Lyonnais ni miongoni mwa timu ambazo zimejihakikishia kucheza hatua ya 16.

Wakati ambao kigogo kama Inter Milan anaondolewa katika michuano hiyo kwa kipigo cha 2-1 kutoka Barcelona na sasa wanashuka na kwenda kucheza UEFA Europa League kutokana na kumaliza nafasi ya tatu.

Soma na hizi

Tupia Comments