Michezo

UEFA Champions League kumuondoa Kevin De Bruyne Man City

on

Kiugo wa Man Cuty raia wa Ubelgiji Kevin De Bruyne anaweza kuondoka Man City kama rufaa ya club hiyo ya kufungiwa miaka miwili kucheza michuano ya Ulaya itatupiliwa mbali na UEFA.

Man City walifungiwa miaka miwili mwezi February 2020 kwa kosa la kuvunja sheria ya matumizi ya fedha (FFP), hivyo hawatoshiriki michuano yoyote inayoandaliwa na UEFA katika kipindi cha miaka miwili.

Hata hivyo Man City inadaiwa kuwatoa hofu wachezaji wake na kuwataka watulie kwani wamekata rufaa na wanaamini wataahinda rufaa hiyo na kuendelea kupata nafasi ya kucheza UEFA Champions League kama kawaida.

Soma na hizi

Tupia Comments