Michezo

Ratiba ya robo fainali Ligi ya mabingwa UEFA tayari iko mezani..

on

drooShirikisho la Soka Ulaya (UEFA) leo limekamilisha upangaji wa ratiba ya mechi za robo fainali ya ligi ya mabingwa iliyofanyika katika mji wa Nyon, Switzerland.

Katika ratiba hiyo Real Madrid itacheza na Atletico Madrid huku Barcelona wao wakiwa na kibarua kigumu dhidi ya Paris Saint-Germain ama ‘PSG‘ ambayo iliwawekea ngumu na kuwaondoa Chelsea kwenye michuano hiyo.

fifaaaaFC Porto watakutana na Bayern Munich nao Juventus wakiwa na kibarua kikali dhidi ya AS Monaco ya Ufaransa iliyoiondoa Arsenal.

Hapa unaweza cheki mpangilio huo mtu wangu.

PSG Vs Barcelona

Atletico Madrid Vs Real Madrid

FC Porto Vs Bayern Munich

Juventus Vs AS Monaco

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments