Michezo

UEFA waahirisha kikao cha hatma

on

Chama cha soka Ulaya UEFA kimetangaza kuahirisha kikao chake cha ndani cha kujadili hatma ya UEFA Champions League na Europa League hadi June 17.

Kikao cha kamati tendaji ya UEFA awali kilikuwa kifanyike May 27 2020, hii ni kwa ajili ya kujadili namna ya kurejesha michuano ya UEFA Champions League na Europa League 2019/20.

Ligi mbalimbali duniani ikiwemo za UEFA Champions League na Europa League zilisimama kwa muda usiojulikana kwa ajili ya mlipuko wa virusi vya Corona vilivyoleta madhara.

Soma na hizi

Tupia Comments