Ad

Michezo

UEFA wako tayari kuwaongezea muda EPL wakuleta mpango kazi wao mezani

on

Chama soka ulaya (UEFA) kimeripotiwa kuwa kitaongeza muda mbele zaidi endapo Ligi Kuu England hawatokuwa wamefikia muafaka wa namna ya kurejesha Ligi hadi ifikiapo May 25 2020.

Rais wa UEFA Aleksander Ceferin amethibitisha hilo baada ya mwezi uliopita kutoa maagizo hayo ili kuhakikisha kuwa club na viongozi wa EPL wanakuja na mpango wa namna ya kumalizia msimu 2019/20.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments