Ad

Michezo

Hizi ndio mechi 16 zitakazoamua ni timu ipi itatinga hatua ya 16 bora ya UEFA December 8 na 9 …

on

Hatua ya makundi ya mechi za Klabu Bingwa barani Ulaya inamalizika leo Jumanne ya December 8 na Jumatano ya December 9 kwa mechi 16 kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya, baada ya kupigwa michezo hii ndio tutapata picha halisi ya timu gani 16 zimefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora kati ya timu 32 zinazoshiriki michuano hiyo, licha ya kuwa kuna baadhi ya timu zimeshajithibitishia kufuzu hatua ya 16 toka mechi zilizopita ikiwemo FC Bayern Munich. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee ratiba kamili ya mechi 16 zitakazofunga hatua ya Makundi.

1

Mechi zote hizi zitachezwa Jumanne ya December 8 Saa 22:45 kwa saa za Afrika Mashariki

2

Mechi zote hizi zitachezwa Jumatano ya December 9 Saa 22:45 kwa saa za Afrika Mashariki

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments