Michezo

Matokeo ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya na video za magoli nimekuwekea hapa mtu wangu…

on

Usiku wa September 16 kulikuwa na muendelezo wa mechi zingine za Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa michezo ya kadhaa ya Kundi E, F, G na H kupigwa. Mtu wangu wa nguvu nakusogezea karibu yako matokeo ya mechi zote za Ligi ya Mabingwa Ulaya zilizopigwa September 16 na video za magoli.

53

Roma Vs FC Barcelona

https://youtu.be/TtUy8E9VI6U

Dinamo Zagreb Vs Arsenal

https://youtu.be/xECWIhdzVvw

Olympiakos Vs Bayern Munich

https://youtu.be/pwV1puHGkgA

Chelsea Vs Maccabi Tel Aviv

https://youtu.be/Y9d1nOFaLSc

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments