Mix

U HEARD: Kilichotokea kwa Mensen Selekta baada ya mwanamke aliyedai ana mtoto wake kujitokeza

on

February 22 U-Heard imedondokea kwa Producer na Msanii wa mziki wa bongo flavor Mensen selekta baada ya mwanamke mmoja anayeitwa Sabrina kudai ana mtoto mchanga wa Producer huyo, katika kipindi cha The Weekend chatting show.

Soudy Brown amemtafuta Mensen Selekta ambapo amedai kuwa ishu hiyo imemvurugia mipango yake mingi ikiwemo sehemu aliyotoa posa ikarudishwa baada ya wao kusikia ana mtoto na mwanamke mwingine……….

>>>“Ile interview ya yule dada uliyemuhoji imenivurugia mipango yangu mingi sana, Kuna mahali nilienda kutoa Posa imerudishwa”.

“siwezi kuliongelea hilo kabisa halafu siunajua mimi siishi kwa maisha ya kiki, naona niliache limeshapungua vibe

Kwa upande wake Sabrina amesema ……. >>>Mimi kamam siwezi kumsingizia mtu tu kuwa na mimba yake kwa ajili gani, mimi simfuati kwa sababu ni maarufu au anajulikana wala sina shida hiyo, mtu ni damu yake kwa hiyo siwezi kuificha damu yake”

Kusikiliza Full story, Bonyeza play hapa chini 

Ulikosa hii ya BASATA kuhusu ishu ya Nikki Mbishi na kwenda Central Police? Bonyeza play hapa chini 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments