Breaking News

BREAKING: Video imewanasa Nassari, Lema na Msigwa wakipeleka Ushahidi TAKUKURU

on

Baada ya jana October 1, 2017 Wabunge Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki na Godbless Lema wa Arusha Mjini kuonyesha video waliyodai ni ushahidi kuwa Madiwani 10 waliohama CHADEMA walirubuniwa kwa rushwa, leo October 2, 2017 Wabunge hao wameonekana Ofisi ya TAKUKURU Dar es Salaam.

Ayo TV na millardayo.com zimewanasa Godbless Lema na Joshua Nassari nje ya Ofisi ya TAKUKURU wakiwa wameambatana na Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa.

Ulipitwa na hii?JOSHUA NASSARI: “Hii Tamthilia bado inaendelea”

Soma na hizi

Tupia Comments