Habari za Mastaa

Ufafanuzi wa kitaalamu, Harmonize kanunua views?, Mx Carter afafanua video ya Harmonize “Mdomo”

on

Ni Headlines zinazomuhusu Harmonize ambapo time hii ameushanga umma baada ya video yake mpya iitwayo Mdomo kutazamwa na watu Milioni 1.3 ndani ya dakika 6 ambacho kitendo hicho si cha kawaida.

Sasa hapa tumempata Mtaalamu wa Mitandao Mx Carter anaelezea mwanzo mwisho

MMAKONDE AIBUKA NA VIJEMBE BAADA YA WATU KUMSEMA ANANUNUA VIEWS YOUTUBE “MASIMANGO, TUSHAZOEA”

 

 

Tupia Comments