Top Stories

Ufafanuzi watolewa kwa waliosema bilionea Laizer kapunjwa “ni upotoshaji”

on

Chama cha wafanyabiashara wa madini Tanzania kupitia kwa makamu mwenyekiti Thomas Munisi kimetoa tamko nakusema shilingi bilion 7.8 alizopewa bilionea mpya Saniniu Laizer hajapunjwa kama ilivyodaiwa na baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii.

BILIONEA LAIZER AONESHA SHULE ALIYOIJENGA KWENYE KIWANJA CHAKE “NIMEJITOLEA BURE”

Soma na hizi

Tupia Comments