Wakala wa Majengo Tanzania TBA imesema itahakikisha Miradi yote wanayoitekeleza ya serikali na Watumishi ya Umma itaendelea kuwa Bora na kumalizika kwa wakati uliopangwa kutokana WATAALAMU waliokuwa wanaitekeleza miradi kwa ufanisi na kwa mda uliopangwa
Akielezea namna Makala wa Majengo Tanzania TBA Mkoa wa Geita kwenye viwanja vya Maonyesho 6 ya Tenchonoliji ya Madini ulivyotekeleza miradi ya serikali kiufanisi na kwa. Mda uliopangwa Meneja wa TBA Mkoa wa Geita Mhandisi Glad Jefta amesema ndani ya Mkoa wa Geita TBA imejenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato, Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nyangwhle pamoja na Ofisi ya Jengo la Tanesco la wilaya ya Geita.
Glad amesema wameshamaliza kujenga awamu ya kwanza kwa viwango kikubwa kwa katika Ofisi ya mkuu wa mkoa, mradi wa Ofisi ya azima pamoja kujenga na mradi mwingie ambao serikali Umeamua kujenga nyumba za kupangisha kwa Watumishi wa umma
“Serikali imebadilisha Sheria ya kuruhsu TBA Ujumuike na kampuni binafsi Ili kutekeleza miradi kiuelewedi zaidi” amesema Glad.