Mix Angalia video na matokeo ya mchezo wa Ufaransa vs Uholanzi Published March 6, 2014 Share 0 Min Read SHARE Mchezo wa kirafiki kati ya Uholanzi dhidi ya Ufaransa uliopigwa jana ulimalizika kwa Ufaransa kuitandika Uholanzi mabao 2-0 . Mabao ya Ufaransa yalifungwa mshambuliaji Karim Benzema na kiungo Matuidi anayekipiga PSG. Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Matokeo ya England vs Denmark, angalia na video ya marudio ya mchezo Next Article Video: Hivi ndivyo Ronaldo na wenzie walivyoiadhibu Cameroon Leave a comment Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYou must be logged in to post a comment. - Advertisement - Latest News Tatizo la ajira bado ni Kaa la moto Kwa vijana Mkoa wa Tanga Mchekeshaji Eliud atua na helkopta Arusha,Watanzania watakiwa kwenda hifadhini JKCI yatangaza huduma kupima Moyo bure kwa Wasanii wa Filamu Tanzania. Bashungwa akabidhiwa ofisi na Masauni, wizara ya mambo ya ndani