Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mume na mke kizimbani kwa kusafirisha dawa za kulevya
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mume na mke kizimbani kwa kusafirisha dawa za kulevya
Top Stories

Mume na mke kizimbani kwa kusafirisha dawa za kulevya

December 5, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Wafanyabiashara watatu kati yao wawili wakidaiwa kuwa mume na mke, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa kusafirishaji dawa za kulevya aina ya Heroin ya gram 375.20.

Washtakiwa hao ni Minda Mfamai, Fatuma Mpondi na Oswini Mango. Kwa pamoja wamesomewa makosa yao na Wakili wa serikali, Adolf Mkini mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Wakili Mkini alidai washtakiwa wanakabiliwa na kosa la usafirishaji wa dawa za kulevya aina Heroin zenye uzito wa gram 375.20. Inadaiwa walitenda kosa hilo November 22, 2017 maeneo ya Chamazi kwa Mkongo jijini Dar es Salaam.

Baada ya kusomewa kosa hilo, Hakimu Mashauri alisema washtakiwa hawapaswi kujibu chochote kwa kuwa kesi hiyo ni ya uhujumu uchumi na mahakama hiyo haina mamlaka na kwamba kesi hiyo inapaswa kusikilizwa Mahakama Kuu, au hadi Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) atoe kibali ndipo itaweza kusikilizwa.

Hata hivyo, mshtakiwa Mfamai aliiomba mahakama itoe amri akatibiwe kwa sababu amepigwa na polisi wakati akiwa kituo cha Polisi. Kutokana na hatua hiyo, Hakimu Mashauri aliagiza mshtakiwa huyo na wenzake wakatibiwe ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi December 19, 2017.

Ulipitwa na hii? Mahakama imemuachia huru Yusuf Manji kesi ya dawa za kulevya

You Might Also Like

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

TAGGED: habari daily, Mahakamani, TZA HABARI
Millard Ayo December 5, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kamanda Mambosasa aeleza jambazi komando kutoka Burundi wa wenzie 2 walivyouawa na polisi
Next Article VIDEOMPYA: Rude Boy kaamua kuja kivyake na hii ya “Fire Fire”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?