Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza rasmi kuwa Tuisila Kisinda sasa anaruhusiwa kuichezea Yanga SC baada ya Yanga kumtoa Lazarous Kambole na kwenda kujiunga na Wakiso Giants ya Uganda.
TFF yampitisha Kisinda baada ya Yanga kumpeleka Kambole Uganda

Leave a comment
Leave a comment